Hofu imeendelea kuwagubika wakaazi wa Matungu kaunti ya Kakamega kufuatia mauaji ambayo yamekuwa yakitekelezwa na genge la wahalifu, mara nyingi wakitumia mapanga na hata bila kuiba chochote. Zaidi ya watu 10 wameuawa katika muda wa mwezi mmoja uliopita huku maswali yakiendelea kuwepo kuhusiana na dhamira ya wanaotekeleza mauaji hayo. Mwanahabari wetu Enock Sikolia amekuwa Matungu akijaribu kutafuta majibu ya baadhi ya maswali.
Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
Tweets by citizentvkenya
https://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya
Original of the video here
Kenya News
Kenya Business News
Kenya Political News
Kenya Sport News
Kenya Lifestyle