| SHAHADA YA MATESO | Kelvin Ochieng’ ataabika licha ya kusoma

Mtazamaji, Hebu tafakari haya. Umekuwa miongoni mwa wanafunzi bora katika shule ya msingi na upili, Na kisha ukafanikiwa kujiunga na chuo kikuu ambako shahada yako ilikuwa ya kiwango cha juu zaidi darasani. Maisha haya yanamuangazia Kijana Kelvin Ochieng mwenye miaka 24 kutoka eneo la Nyakach ambaye licha ya kuwa na tajriba hii yote na baada ya kufuzu kutoka chuo kikuu cha Nairobi na shahada ya juu kwenye somo la sayansi halisia, maisha yake yamesalia ya barabarani katika mtaa wa Mathare hapa Nairobi. Purity Mwambia na taarifa hii maalum ‘Shahada ya Mateso’ #ShahadaYaMateso #KelvinOchieng

Citizen TV is Kenya’s leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.

This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.

Follow us:

Homehttps://www.facebook.com/Citizentvkenya
https://plus.google.com/+CitizenTVKenya
https://instagram.com/citizentvkenya

Original of the video here

Kenya News
Kenya Business News
Kenya Political News
Kenya Sport News
Kenya Lifestyle

Back to home page

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *