Huenda baadhi ya mawaziri wa kaunti ya mombasa wakatemwa baada ya muhula wao wakuhudumu kutamatika

Huenda Baadhi Ya Mawaziri Wa Kaunti Ya Mombasa Wakatemwa Baada Ya Muhula Wao Wakuhudumu Kutamatika Usiku Wa Jumanne.Haya Ni Kwa Mujibu Wa Gavana Wa Mombasa Ali Hassan Joho. Katika Mahojiano Ya Kipekee Na Mwanahabari Wetu Tobias Chanji, Joho Amesema Kuwa Mawaziri Tisa Kwa Sasa Hawana Ajira Na Kwamba Wanaendelea Kupigwa Msasa Utendakazi Wao Na Jopo Maalum.Jopo Hili Linatarajiwa Kutoa Ripoti Yake Siku Tatu Zijazo Na Kubaini Mawaziri Wapi Watakaofurushwa Na Wale Watakaosalia

#Kenya #KTNNews #KTNPrime

SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNews

Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya

For more great content go to http://www.standardmedia.co.ke/ktnnews and download our apps:
http://std.co.ke/apps/#android

KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.

Original of the video here

Kenya News
Kenya Business News
Kenya Political News
Kenya Sport News
Kenya Lifestyle

Back to home page

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *